Afcon 2019 unnder 17

Afcon 2019 unnder 17

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
685
Hivi timu yetu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Taifa imeshindwa hata kufunga hata timu moja jamani!!
Tatizo liko wap?
 
Hivi timu yetu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Taifa imeshindwa hata kufunga hata timu moja jamani!!
Tatizo liko wap?
1) Bashite
Huyu ana gundu!!

2) jina la uwanja.
Huwezi kuyapindua matakwa ya jamii ukabaki salama, aibu itaambatana na wewe mwanzo mwisho.

Uwanja tunauita KWA MCHINA wasilazimishe kuuita mkapa.
 
1) Bashite
Huyu ana gundu!!

2) jina la uwanja.
Huwezi kuyapindua matakwa ya jamii ukabaki salama, aibu itaambatana na wewe mwanzo mwisho.

Uwanja tunauita KWA MCHINA wasilazimishe kuuita mkapa.
😁😁😁 aisee
 
Muulize rais wa tff na mzee wa kutundulisu wenzake Wallace Karia ni kwa nini alimuondoa yule mzungu wa watu asiye na makuu Kim Poulsen kwenye benchi la ufundi ilhali alikuwa ana mchango mkubwa kwenye kuijenga hiyo timu ya vijana tangu walipokuwa na miaka 13, na mwisho wa siku kukabidhiwa mtu ambaye hata timu ilipofungwa mara tatu zote tena kwa idadi kubwa tu ya magoli! hata kushtuka tu hakushtuka! body language yake ilimuonesha akiwa normal kabisa!
 
Tatizo ni sisi watanzania woote...hatuna maandalizi mazuri kabla ya mashindano.

Lakini hao madogo wange-perform vizuri mechi hata 3 ungesikia wanasiasa wangevyobadiri gia angani na kujifanya kuwasupport kwa nguvu.
Yaani sisi tunawaona watu baada ya kuharibu au kufanya vizuri lakini hatutaki kuhusika kwenye maandalizi
 
Yaani mimi ninavopenda Tanzania yangu Roho imeniuma sana .huku wakina mama wametolewa huko Congo,Simba imepoteza haya hata hawa watoto wetu nao wamepoteza yaani!!
 
Hivi timu yetu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Taifa imeshindwa hata kufunga hata timu moja jamani!!
Tatizo liko wap?

Hivi kamati inayoitwa ni ya ubamasishaji ilikuwa na akina nani vile???
 
Back
Top Bottom