AFCON 2021: Refa amaliza Mechi ya Mali na Tunisia, kabla ya dakika 90

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Mwamuzi Jan Sikazwe toka Zambia akichezesha mchezo Kati ya Tunisia na Mali, amemaliza mchezo dakika ya 85 lakini Tunisia wakalalamika na mchezo ukaendelea, ilipofika dakika ya 89 akamaliza mchezo tena na safari hii Refa akagoma kuendelea na mchezo.

Mwamuzi huyu amewahi kusimamaishwa kuchezesha soka Kwa miaka 3 alituhumiwa kupokea hongo ili kupanga matokeo.
Hata kama ni ubovu huu wa Leo umepitiliza.

Alianza Kwa kuwanyima Mali Penati DK 58 baada ya Adama Traore kufanyiwa madhambi ndani ya 18 lakini hakutaka hata kujiridhisha Kwa VAR.
 
nimeiona hii aiseee wakati kulikua na Cooling break ya maji. alaf hakuna ata dk za nyongeza .. labda saa aliyovaa inamzingua.
 
Dah huyu refa UTOPOLO kwel aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Dk 91, sio 87
 
Waafrika ni wachawi hatari
 
Saa yake imezingua sawa, je vipi saa za makamisaa wa mchezo? Vipi saa za wasaidizi wake nazo? Inamaana zote zilikuwa mbovu?
Na Mimi najiiliza hivyo! Nini kazi ya kamisaa wa mchezo, msimamizi wa waamuzi na mwamuzi wa mezani?
 
Second Half ilianza saa ngapi na kulikuwa na stoppages ngapi na alimaliza saa ngapi ?

Sio kwamba namtetea sikuangalia game na najaribu kuwaza ni nini kilitokea kama huenda kuna stoppage saa za TV zilihesabu yeye akasahau, ila kwanini wasaidizi pia wasimwambie ?
 
Huyo refa atskuwa hawapendi waarabu maana alianza kumaliza game dk ya 85
Ingekuwa hiyo ni sababu basi angetoa penati mbili za wazi kabisa walizocheza watunisia na pia ile kadi nyekundu ya moja kwa moja aliyopewa mchezaji wa Mali hakustaili
 
Ingekuwa hiyo ni sababu basi angetoa penati mbili za wazi kabisa walizocheza watunisia na pia ile kadi nyekundu ya moja kwa moja aliyopewa mchezaji wa Mali hakustaili
Si uliona slienda kwenye VAR kuthibitisha
 
Inakuwaje caf wanapeleka kichaa huko afcon......
 
Kafanya mbaya ila kwasababu kafanya wakati Mali ishapata ushindi kwa waarabu minaona sawa tu.
Waarabu wanafigisu sana sasa acha nawao wakutane na mziki wa figisu wa gb milioni kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…