Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Dual citizen imewabeba comoro kwenye national team,wale wachezaji wao wengi wana uraia pacha na wanacheza mpira ulaya madaraja ya chini,sie huku bado tunahofia uraia pacha kizembe tuMpaka sasa siamini Comoro wametuzidi vipi, jamaa wanaupiga haswa!!
Mauritania jeDual citizen imewabeba comoro kwenye national team,wale wachezaji wao wengi wana uraia pacha na wanacheza mpira ulaya madaraja ya chini,sie huku bado tunahofia uraia pacha kizembe tu
Hela ya kula yenyewe hatuna alafu tuache masikhara sie waafrica starehe yetu kutombanaga bwanaWaafrica sijui tunakwaama wapi?
🤣🤣Hela ya kula yenyewe hatuna alafu tuache masikhara sie waafrica starehe yetu kutombanaga bwana
Safi! Kila mwenye ngozi nyeusi ni mchawi Moyoni ila uwangaji ndo unatofautiana, "usoni sina ngenya, Moyoni siyo mwema"Waafrica sijui tunakwaama wapi?
Leo utacheki game?Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana.
Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani kifupi hii michuano nasubir mpaka hatua ya nusu fainali ndo nirudi tena kuangalia.
Ni Bora uangalie hata mapinduz cup kuliko afcon
Nenda hesgoal.comNawezaje kuangalia AFCON online live ( Mechi ya fainali leo)
Hakuna Afcon 2022.Ni Afcon 2021Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana.