Afcon 2022 mbovu sijapata ona

Afcon 2022 mbovu sijapata ona

Mpaka sasa siamini Comoro wametuzidi vipi, jamaa wanaupiga haswa!!
Dual citizen imewabeba comoro kwenye national team,wale wachezaji wao wengi wana uraia pacha na wanacheza mpira ulaya madaraja ya chini,sie huku bado tunahofia uraia pacha kizembe tu
 
Dual citizen imewabeba comoro kwenye national team,wale wachezaji wao wengi wana uraia pacha na wanacheza mpira ulaya madaraja ya chini,sie huku bado tunahofia uraia pacha kizembe tu
Mauritania je
 
Mpira wa nguvu ndio asili yetu afrika mdau......kuhusu mashabiki nchi kibao zimezuia kusafirisha abiria sababu ya korona
 
Mbona michuano ina amsha balaa au mikeka ndo imechanika [emoji1787][emoji1][emoji3][emoji16][emoji38][emoji12][emoji23][emoji848]

.. Hadi umepaniki? Mfano mechi ya Nigeria na Egypt ilikua moto sana..

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Na huyu refa wa leo aliemaliza mpira mara mbili...
 
Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana.
Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani kifupi hii michuano nasubir mpaka hatua ya nusu fainali ndo nirudi tena kuangalia.

Ni Bora uangalie hata mapinduz cup kuliko afcon
Leo utacheki game?
 
Nawezaje kuangalia AFCON online live ( Mechi ya fainali leo)
 
Nimeangalia baadhi ya michezo ya afcon ikiwa ni pamoja na ule wa ufunguzi, wa Senegal na saiv naufatilia huu wa Morocco na Ghana.
Nachokiona ni soka bovu, nguvu ikitawala huku soka likichezwa taratibu sana Yan mtu mpaka unaboreka. Michuano mikubwa lakin hakuna mashabiki Yani kifupi hii michuano nasubir mpaka hatua ya nusu fainali ndo nirudi tena kuangalia.

Ni Bora uangalie hata mapinduz cup kuliko afcon
Hakuna Afcon 2022.Ni Afcon 2021
 
Huyu alitabiri mapema...nahisi hakuangalia vizuuri....

Afcon ni tamu saana labda km ulikuja na timu zako
 
Back
Top Bottom