Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

Wachezaji wa england Kuna siku wanahojiwa Wanasema posho zote wanazolipwa timu ya taifa zinaenda kwenye charities huo ni utaratibu wa miaka na miaka....

Nikawaza ingekua kwetu huku??? Ila wale wanavuna pesa nyingi sana kwenye club zao hawana njaa za kijinga
 
Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
nigeria na cameroon ni wabovu yamebaki majina tu, kama akishindwa kubeba senegal hili kombe linabaki hapohapo ivory coast...waarabu hawatolibeba hili kombe !
 
Wazee wa kubet naomba kujua option ya kubet timu itakayokua bigwa huk kweye mikeka kuna ndoto nimeota jana.
 
Back
Top Bottom