Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

Napenda sana Zambia ambavyo hucheza kwenye haya mashindano

Nawatakia kila heri
 
Senegal mnawachukulia kawaida sana hao Morocco wamfunge Simba wa Taranga ni ngumu sana...Senegal wapo sawa sana
 
hayo ni maoni yako wew ata mwaka 2012 ivory coast alitabiliwa kuwa bigwa ila mwisho wa siku Zambia ya kina Emanuel mayuka wakawa mabigwa
 
Tz wako bize kuchangishana hela tu

Ova
 
Back
Top Bottom