Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika.
Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au kupigania fursa zinazokuja?
Je, uwezo wa viongozi wetu ukoje katika kunegotiate na kushawishi nafasi na fursa mbalimbali za kimichezo?
Haiwezekani uwanja wa Mkapa ambao ni maarufu zaidi Afrika kuliko huo unaojengwa huko Kenya, huku vyote vikiwa na same capacity ya watu 60,000 ukose kupewa kipaumbele mbele ya uwanja mpya unaojengwa huko Kenya ambao nao utabeba watu 60,000.
Hii ni loss kubwa sana Tanzania! Tumepoteza mapato, tumepoteza fursa za utalii, tumepoteza mapato na nafasi ya kujitangaza Ulimwenguni!
Je, huu ni uzembe wa viongozi wetu? au viongozi wamekaa wamebweteka?
Je, ni uwezo mdogo walionao viongozi wetu?
Kwa upande mwingine naona walichofanya Afcon ni upendeleo wa dhahiri! Angalau moja kati ya mechi ya ufunguzi au fainali ingefanyika Benjamin Mkapa Stadium!
Natamani kusema watanzania tususe haya mashindano! Lakini bado hasara ni kwetu!