AFCON 2027 na Mkakati wa "Dada wa Taifa": Mtego wa Kidemokrasia Ambao Dola Haidumu Kuushinda

Personal AFCON isicheze Tanzania hata mechi moja
 
AFCON LAZIMA KINUKE.HUYU MAMA LAZIMA TUMWADABISHE KWA KUUA NDUGU ZETU WALIOPIGANIA UHURU TAREHE 29 OKTOBA.HUYU MAMA HATUMTAKI KWA KUWA HAKUNA HATA KIMOJA CHA MAANA ALICHOFANYA TOKA ARITHI URITHI WAKE
 
Huu ndio uzalendo!.
P
 
Aje tuandamane wote

Wa Tanzania Sio mabwege
 
Kwa hiyo Ndugu Kinyangarika, wanaoteka, kuua na kupoteza ndugu zetu hao ndo wazalendo na wanajenga nchi?
 
Pumbavuu..njaa yako ishapanda kichwani..huna tena hoja..ndo maana magu alikupa shiiit
 
Shida mnatumia masabuli kufikiri na kupotosha kauli ya Mange.... issue hapa ni kwamba toka kabla na baada ya oct 29 wananchi wana madai yao ya msingi kabisa ambayo hata hizo tume zilizoundwa zimeyataja hayo madai na kushauri yafanyiwe kazi, lakini serikali inaendelea na ukiziwi wake, bila kujali wenye mamlaka ni wananchi.
Mange hajasema watu wazuie AFCON, ila anachohamasisha siku hiyo ni kufikisha ujumbe tu kwa njia rahisi kuhusu madai yao ya msingi ambayo hayasikilizwi wala kutatuliwa.
Kwa hiyo msipotoshe kila mtu siku hiyo afanye kinachomhusu.
T
 
KINEMBE CHAKO MKUU.
 
Gwajima alisema ukilazimisha uchaguzi utashinda lakini utaongoza Kwa tabu nchi ndiyo Kama hivi sasa
 
Umeshabanwa mbupu ?
Mbona hueleweki😂
 
Kwa akili kisoda unaweza kuwa upo sawa kiongozi
san
Niliadnika kwa makusudi mazima nilitaka kujua kina nani wapo nasi na nimewapata wengi
samuya kaua kila kitu nikisikia mtu anasema tz kuna democracy huwa nakasirika sana.
 
Upo sawa sana mkuu nauungana na wewe nilibanwa Pumbu tu kama mdau alivyoniambia
 
Duuh

Sema kaka na wewe umezidi kuwa ndumi la kuwili mara uiponde serikali mara uisifie.

KUA na MAAMUZI kama tunafia nchi tufie nchi kama tunapenda serikali basi tuipende.

Note: tupo wadogo zako wengi humu unakosa msimamo.
Nimemjibu nakua ndumilakuwili kama yeye ila kweli ni vigumu sana imenibidi nifute maana watu wamenishambulia kwelikweli🤣🤣🤣
 
Kuna mgeni anaweza kuwamcho hezi wa ugomvi na mwingine anaweza kuwa sababu ya amani kati yenu, issue ni huyo mgeni ana manufaa gani kweni???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…