and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
National timu maandalizi ni 3 weeks tuu2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
Mo 29 29, October 2026 ni PM nikupe Ramani
Chap kwa harakaNational timu maandalizi ni 3 weeks tuu
Inakwenda kuwa aibu kubwa.2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
PoaInakwenda kuwa aibu kubwa.
Ulitaka waingiea kambini leo? Ahahahahaha!!!2027 tuna AFCON bado tunapambania viwanja na taa. Vipi maandalizi ya Timu? Au?
Sasa unacheka nini? Watu wengine!!Ulitaka waingiea kambini leo? Ahahahahaha!!!
Sasa kama mtu kanichekesha, nisicheke? Ahahahahaha!!Sasa unacheka nini? Watu wengine!!