AFCON hivi Taifa Stars itashiriki? Maandalizi yanaanza lini?

Team inategemea ushirikina zaidi, na ushirikina hata week tu inatosha.
 
Tutakuwa waandaaji wasindikizaji pamoja na majirani zetu, hakuna atakayevuka hatua ya makundi
 
Kenya huko muda si mrefu wanapigwa rungu,ligi imesimama kesi mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…