Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nadhani AFCON siyo kipimo cha ligi za Afrika fuatilia wachezaji wa timu za taifa wanacheza timu (club), gani na nchi gani kama wachezaji wa AFCON watatokana na wacheza wa ndani tu yaani bila kuruhusu wachezaji kutoka nchi zingine kucheza kwenye ligi zetu una haki kusema ligi yetu haina ubora.Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine!??
Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani atavutia timu toka mataifa mengine na kutaka kumsajili??
Uko sahihiIbrahim Bacca alikuwa kwenye performance ya juu sana kwa maoni yangu.
Kwa walioangalia mechi ya jana wanasema hata Inonga alicheza vizuri (sikuangalia mechi)