AFCON imethibitisha ligi yetu siyo bora kama tunavyoikuza

AFCON imethibitisha ligi yetu siyo bora kama tunavyoikuza

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine?

Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani atavutia timu toka mataifa mengine na kutaka kumsajili?
 
Kwenye AFCON ni mchezaji gani aliyetoka kwenye ligi ya Tanzania aliyeonesha uchezaji wa kupigiwa mfano hata kukumbukwa na mataifa mengine!??

Au baada ya mashindano haya ni mchezaji gani unadhani atavutia timu toka mataifa mengine na kutaka kumsajili??
Nadhani AFCON siyo kipimo cha ligi za Afrika fuatilia wachezaji wa timu za taifa wanacheza timu (club), gani na nchi gani kama wachezaji wa AFCON watatokana na wacheza wa ndani tu yaani bila kuruhusu wachezaji kutoka nchi zingine kucheza kwenye ligi zetu una haki kusema ligi yetu haina ubora.

Endapo hamtaruhusu wachezaji toka nchi ngine haamuwezi kuwa wapinzani (washindani), hoja yako iwe nini kifanyike ili taifa stars iwe inafanya vizuri, (iwe timu shindani).

Football requires individual skills and talent, thus, competitive football team
 
Mataifa mengi yaliweka wachezaji wengi kutoka ulaya uliangalie Hilo pia mtoa mada. Ila tshabalala alikua kichocholo
 
Back
Top Bottom