AFCON inayokuja Mzize asiitwe timu ya Taifa kwa utovu wa nidhamu

AFCON inayokuja Mzize asiitwe timu ya Taifa kwa utovu wa nidhamu

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka.

Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
 
Mliambiwa utopolo wenye akili ni wawili tu
 
Ile haikuwa Tactical Substution, ilikuwa kwasababu ameumia na mchezaji akawahakikishia yupo fiti.

Don't make it a big deal. Kibu Denis alikuwa anapiga makofi kuonesha ameelewa. Kwanini na wewe usielewe au ndio haibu yetu wa kutazama kila jambo katika angle negative?
 
Kwahy wanaotolewa dkk 90 hua hawana cha kutupa?
Either team imeshinda na hawana na chakufanya tena au kocha anataka kumuingiza mchezaji kwa plan nyingine labda akalinde tu.

Au ni kwa ajili ya penalties
 
Back
Top Bottom