Mimi huwa ninaamini sana wakati sahihi Mungu anapowapangia jambo. Huenda angetoka muda ule yangetokea makosa tukafungwa. Ndio maana tunaambiwa usikasirike basi linapokuacha. Pambana lakini Mshukuru Mungu kwa yanayotokea.Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka.
Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu hata Samata na Msuva hawajafanya alichofanya Mzize leo.
TIMU IMEPITA