NI mara ya pili mfululizo timu zinazopambana na mwemyeji wa AFCON 2025 Morocco kulalamika mashabiki wake kunyimwa tiketi huku wenyeji wakitamba kununua tiketi zote.
Inajulikana soka ni biashara, lakini soka ni burudani na burudani inakamilishwa na watu. Inakuwaje timu moja Kwa Kisingizio cha uenyeji ipewe nafasi ya kuchukua tiketi zote za kuingia uwanjani bila mpinzani kuwa na mashabiki? Hii si Sawa na kuwaban Senegal kuingia bila mashabiki kijanja?
Hata kama tiketi zinakatwabonline lakini bado lilikuwa jukumu la CAF kuhakikisha fair play kwenye mauzo ya tiketi hasa ikizingatiwa historia ya Wamorocco inajulikana kwa hujuma?
Tiketi zinaweza kununuliwa na yeyote mkuu,inaonesha kuwa baada ya mechi ile morocco walipotinga final,wenyeji walichangamkia fursa chapu wakanunua tiket online zikaisha. Ndio maana unakumbushwa kuwa wahi mapema kwani nafasi ni chache bhandugu.