AFCON: Mambo yamebadilika?

AFCON: Mambo yamebadilika?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mechi chache zimepigwa, lakini kiukweli waliodhaniwa watatamba hali ni mbaya .

Misri tia maji tia maji huku Ghana ikiwa ulimi nje , mpaka sasa Ball Possession Ghana 30 % na wako nyuma kwa bao 1 , Cape Verde 70% ni dk ya 30 .

Ngoja tusubiri yatakayojiri .
 
Kati ya mechi ambayo niliamini itakuwa super kabla ya mashindano kuanza ni Ghana Vs Cape Verde.
 
Tatizo timu kubwa zinacheza kifaza sana wakati timu ndogo zinakaza na kucheza mpira mkubwa. Wasipokaza hawa vigogo wote watatolewa makundi
 
Si kweli.
Mbona zilizopita trend haikuwa hivi?
Zilizopita zipi mkuu? Miaka ya hapa karibuni trend imekua hii hii tu. Kuna miaka hapo kati ivory coast alikua na mastaa kushinda hata mataifa makubwa ya ulaya lakini akija afcon haieleweki anacheza nini. Afcon iliishia miaka ya mwanzoni mwa 2000 pale bhana watu wanachezea passion halafu wana mpira mwingi sana mguuni sio hii ya saiv.
 
Kila kitu kizuri kilikua zamani! hapa ndio hua nachoka
 
Mechi chache zimepigwa, lakini kiukweli waliodhaniwa watatamba hali ni mbaya .

Misri tia maji tia maji huku Ghana ikiwa ulimi nje , mpaka sasa Ball Possession Ghana 30 % na wako nyuma kwa bao 1 , Cape Verde 70% ni dk ya 30 .

Ngoja tusubiri yatakayojiri .
Wachezaji nyota wanacheza chini ya viwango kuepuka majeruhi
 
Zilizopita zipi mkuu? Miaka ya hapa karibuni trend imekua hii hii tu. Kuna miaka hapo kati ivory coast alikua na mastaa kushinda hata mataifa makubwa ya ulaya lakini akija afcon haieleweki anacheza nini. Afcon iliishia miaka ya mwanzoni mwa 2000 pale bhana watu wanachezea passion halafu wana mpira mwingi sana mguuni sio hii ya saiv.
Miaka hiyo ya nyuma kama ni kutocheza vizuri, unaona ni timu moja au mbili ila nyingine kubwa zinacheza mpira. Ila mwaka huu wakubwa wote naona kama wanachechemea. Labda tuone gemu zinazofuata.

Ila hoja ya masilahi natofautiana na wewe. Huku national team huwa ni posho tu na huwa hawachukulii kama national team ni sehemu ya kujipatia hela. Hamna mchezaji asiyependa kuimbwa na wakwao. Hata huyo Salah kuna gemu kadhaa muhimu huwa analia wakishindwa. Hivyo hoja ya kutokufanya vizuri kisa masilahi haina mashiko. Labda ungesema mfumo pamoja na wachezaji wanaowazunguka wakiwa national team, sawa.
 
Jidanganye
Soma hapo
Screenshot_20240115-145627_Chrome.jpg
 
Miaka hiyo ya nyuma kama ni kutocheza vizuri, unaona ni timu moja au mbili ili nyingine kubwa zinacheza mpira. Ila mwaka huu wakubwa wote naona kama wanachechemea. Labda tuone gemu zinazofuata.

Ila hoja ya masilahi natofautiana na wewe. Huku national team huwa ni posho tu na huwa hawachukulii kama national team ni sehemu ya kujipatia hela. Hamna mchezaji asiyependa kuimbwa na wakwao. Hata huyo Salah kuna gemu kadhaa muhimu huwa analia wakishindwa. Hivyo hoja ya kutokufanya vizuri kisa masilahi haina mashiko. Labda ungesema mfumo pamoja na wachezaji wanaowazunguka wakiwa national team, sawa.
Kweli kabisa, na kuna wachezaji wengine wanatoa fedha zao kusaidia timu
Hivi mchezaji kama Ronaldo atahitaji kulipwa kiasi gani timu ya taifa?
 
Back
Top Bottom