AFCON: TBC Inahujumiwa na Azam Tv?

AFCON: TBC Inahujumiwa na Azam Tv?

Azam tv watake wasitake wanajisikia vibaya mapato ya kifurishi chao hicho kutokuingiza fedha ndefu msimu huu wa afcon. Tbc wanaonesha bure tena local channel ya bure kwenye kisumbusi cha star times. Hata kama starehe ni gharama, wakati mwingine inabidi gharama iwe ndogo ili wateja wawe wengi
 
Azam tv wasijisikie vibaya, caf na fifa hutoa fursa kwa tv za taifa kunasa michuano yao irushwe bure. Wasubiri nbc premier league ipo kwa ajili yao tu, huko wataokota maokoto mengi kwenye visimbuzi vyao
 
Back
Top Bottom