Hope unatania !!
Alipaswa kuwa na Kisimbusi chake sio?Sitanii...
TBC alipaswa kuwa benchmark ya matangazo ya televisheni nchini, lakini sasa shirika la habari la nchi ndio limekuwa inferior
Jamaa haelewi anaongea nnAlipaswa kuwa na Kisimbusi chake sio?
Ndio maana nikasema hope unatania....
Ila kama hautanii basi sawa.
Anataka TBC 1.Kwa hiyo we unataka bure ama nini???