AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Hongera sana kwa Serengeti Boy's

1.Defence kuanzia Kipa na mabeki wanacheza kwa kushirikiana na kujiamini sana

2.Game plan ya kocha ilikuwa kuzuia tusifungwe naamini mechi ijayo atabadilisha tucheze mfumo wa kushambulia
Kwa jinsi hawa Mali walivo na wanavocheza ilikuwa lazima kocha afanye vile, hawa ni wakali sana hawa
 
Mpira umekwisha; Mali 0-0 Tanzania. Serengeti Boys imefanikiwa kulazimisha suruhu na mabingwa watetezi katika mchezo wa kwanza wa Kundi B.
 
Asante sana Serengeti Boys. Mmembana Bingwa mtetezi huku mkiwa pungufu wakati fulani. Hongera Kocha Shime na bench la ufundi lote.
 
Kama tupo kundi Moja na Ghana basi tuhesabu yu kuwa tumemaliza hatua ya makundi kwa point 1 tuliyopata Leo!
 
Vijana wetu kwa kweli wanastahili pongezi kubwa. Kwa kuzingatia timi tuliyocheza nao wana kiwango na uzoefu mkubwa sana kuliko sisi. Watanzania wote tuendelee kuwapa sapoti vijana wetu. Hata ikitokea hatutofika mbali tutakuwa tumepata uzoefu kwa mashindano yajayo
 
Kama tupo kundi Moja na Ghana basi tuhesabu yu kuwa tumemaliza hatua ya makundi kwa point 1 tuliyopata Leo!
Ghana wanafungika mkuu ....lkn pia hatupo kundi moja na hao viumbe
 
Kama hatupo kundi Moja afadhali, vinginevyo kwa mpira niliouona Jana! Mmmmh hamna namna,
Acha woga madogo wanahitaji marekebisho kidogo ......hata hao ghana uko mbele ya safari tukikutana nao tunawafunga tu#hakuna kushindwa#tanzaniaKwanza#umojaNinguvu[emoji123]
 
Well done boys

Mara nyingi mechi ya kwanza kwa timu ngeni ukizingatia inakutana na bingwa mtetezi kutoka draw ni advantage kubwa tu

Naona kila mda ulivozidi kwenda nao wakazidi kuzoea uwanja na kuzidisha kujiamini

Nina matumaini makubwa na mechi yao inayofata madogo watafanya makubwa zaidi
 
Back
Top Bottom