Kwa jinsi hawa Mali walivo na wanavocheza ilikuwa lazima kocha afanye vile, hawa ni wakali sana hawaHongera sana kwa Serengeti Boy's
1.Defence kuanzia Kipa na mabeki wanacheza kwa kushirikiana na kujiamini sana
2.Game plan ya kocha ilikuwa kuzuia tusifungwe naamini mechi ijayo atabadilisha tucheze mfumo wa kushambulia
Wacha uchawi weweKama tupo kundi Moja na Ghana basi tuhesabu yu kuwa tumemaliza hatua ya makundi kwa point 1 tuliyopata Leo!
Ghana wanafungika mkuu ....lkn pia hatupo kundi moja na hao viumbeKama tupo kundi Moja na Ghana basi tuhesabu yu kuwa tumemaliza hatua ya makundi kwa point 1 tuliyopata Leo!
Mpira unachezwa uwanjani na sio kitandani wewe bulldozer!Wacha uchawi wewe
Tuko na Angola na Niger,Mali ndio timu ngumu kuliko zoteKama tupo kundi Moja na Ghana basi tuhesabu yu kuwa tumemaliza hatua ya makundi kwa point 1 tuliyopata Leo!
Aliye kuambia unachezwa ulikotaja nani!!Mpira unachezwa uwanjani na sio kitandani wewe bulldozer!
True. The new comers against defending champs`madogo wanastahili pongezi .Ndo mara yao ya kwanza kwenye michuano hii. Uzoefu pia umechangia
Kama hatupo kundi Moja afadhali, vinginevyo kwa mpira niliouona Jana! Mmmmh hamna namna,Ghana wanafungika mkuu ....lkn pia hatupo kundi moja na hao viumbe
Wewe mkenya unatafuta nini huku kwenye uzi wa watanzania?Kama tupo kundi Moja na Ghana basi tuhesabu yu kuwa tumemaliza hatua ya makundi kwa point 1 tuliyopata Leo!
Uwe unasoma na kuelewa wewe msukule WA John kipara!Aliye kuambia unachezwa ulikotaja nani!!
Acha woga madogo wanahitaji marekebisho kidogo ......hata hao ghana uko mbele ya safari tukikutana nao tunawafunga tu#hakuna kushindwa#tanzaniaKwanza#umojaNinguvu[emoji123]Kama hatupo kundi Moja afadhali, vinginevyo kwa mpira niliouona Jana! Mmmmh hamna namna,