AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Makosa ya kisoka yapo na kutoka suluhu na mwenyeji sio padogo hapo muhimu game plan ibadilike mchezo unaofuatia hongereni vijana hongera Tanzania.
 
We mkenya acha wivu wa kiboya hivi nyie watu mkoje? siku serengeti ikiingia faimnali hamchelewi kusema ni timu yenu ya kenya pambaf sana nyie wakora
Tena jamaa walivyokuwa wataalam wa kufungua kesi hao, wanaweza fungua kesi kwa nini Serengeti boyz imetoa sare na Mali
 
We mkenya acha wivu wa kiboya hivi nyie watu mkoje? siku serengeti ikiingia faimnali hamchelewi kusema ni timu yenu ya kenya pambaf sana nyie wakora
Jombaa acha kuingizwa mkenge na huyu Jitegemee, Nani mkenya?? Hawa cherengeti hawana uwezo WA kumfunga Ghana acheni kujilisha upepo!
 
Jombaa acha kuingizwa mkenge na huyu Jitegemee, Nani mkenya?? Hawa cherengeti hawana uwezo WA kumfunga Ghana acheni kujilisha upepo!
Mbona mali mabigwa watetezi wameshindwa kutufunga..!?
 
Tatizo letu Watanzania tunapenda mafiniko tu, tukifungwa mechi moja tu watu wote watahamia Ghana, Cameroon nk, hapo ndipo palipo na tatizo. Soka letu ni xhanga bado tunaanza kwa hiyo tutakapofikia tumejitahidi. Botswana 2012 walifungwa mechi zote Afcon na mechi ya mwisho walichapwa 4 bila wakaishia hatua ya makundi, ila walivyorudi walipokelea kishujaaapale Molebast university (kama sijakosea), walionekana ni mashujaa walioipa sifa nchi yao. Ila Botswana ya leo si ile. Kwa hiyo na sisi watanzania hata timu yetu ikishindwa tuendeleee kuwapa sapoti tu kwa michuano ijayo. Tuwe wavumilivu, mafanikio hayaji tu kama usingizi, yanahitaji mipango namuda.
 
Mbona hao ghana tulicheza nao friend match bongo na tukatoka nao sare ya 2-2
 
Umeishaaaaaaaa

USHINDI WA KISHINDO TUMEISHTUA DUNIA
Mali walikataliwa goli la wazi...

Anyway labda unyonge wa performance yetu umetubeba...

Huenda mali waliamua kutuchukilia sie kama vitoto..

Lakini inatubidi tukaze...sikupenda performance ya serengeti. Wameenda kimataifa...wakomae.. Mechi ijayo tukila wiki msishangae..

Over.
 
Hakuna timu ya kutufunga week! Niger na Angola nimeangalia mipira yao
 
oi....vijana wametoka droo....??
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Mna Bahati sana nyie, mimi siyo moderator wa JF na ssihusiki na TCRA wala Wizara ya habari na michezo. Mngenitambua na lugha zenu hizi zisizo na staha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…