Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
figisu hizoRefa kadi anatupatia sisi tuuu??
Mkuu edit hilo jinaTombe anafanyiwa faulo
Hajakosea mkuu... Ndivyo anavyoitwa...Mkuu edit hilo jina
Mkuu nikiedit zaidi ya hilo mods watanifanyia kitu mbaya[emoji4]Mkuu edit hilo jina
Yaani refa kama kashachukua chake mapeemaaaaafigisu
figisu hizo
kuna mtu kapigwa red huko?Yaani refa kama kashachukua chake mapeemaaaaa
Nimewaona ghana jana, madogo hao wa ghana ni spidi 120 full mechi! Kama Tukicheza nao kwa spidi yetu hii watatichosha mapema na kuanza lutupa dozi!Madogo wako slow sana..yaani huoni kama kuna kitu wanatafuta...hawa Angola ni size yao kabisa..lakini nasikitika kama wasipobadilika Angola wakistuka basi tujiandae kisaikolojia.