AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Madogo wako slow sana..yaani huoni kama kuna kitu wanatafuta...hawa Angola ni size yao kabisa..lakini nasikitika kama wasipobadilika Angola wakistuka basi tujiandae kisaikolojia.
 
Serengeti boyz wanashambulia lango la angola mithili ya nyuki!
 
Madogo wako slow sana..yaani huoni kama kuna kitu wanatafuta...hawa Angola ni size yao kabisa..lakini nasikitika kama wasipobadilika Angola wakistuka basi tujiandae kisaikolojia.
Nimewaona ghana jana, madogo hao wa ghana ni spidi 120 full mechi! Kama Tukicheza nao kwa spidi yetu hii watatichosha mapema na kuanza lutupa dozi!
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…