barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
La pili, serengeti boys 2.Serengeti boyz wanashambulia lango la angola mithili ya nyuki!
Tz 2-Ang 1updates plz wengine tupo mbali kidogo
bado mojaBado Tu Haujaisha?
game over...ushindi huwa ni dakika ya 70 labda serengeti waongeze..Bado sana kama dk 10
Mkuu sisi tumewatangulia Gabon maana tupo mashariki zaidi yao.Guys sio saa 9 na nusu alasiri ambayo ni sawa na saa 11 na nusu jioni kwa saa za gabon? au nimemunukuu vibaya Shaffii Dauda
Bado sana kama dk 10