AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Kuna dogo mmoja wa Serengeti boys aliingia baadae akatoka alibanwa misuli,yule dogo anajua mpira kuliko wachezaji wrote kwenye hayo mashindano,kwa bahati mbaya kwa umri wake hawezi kuchza dk zote 90..anamiaka 15 tu!
 
dogo ana vitu vingi sana mwalimu anatakiwa kumpanga ata kama umri mdogo mbona messi kaanza kukinukisha na baba lao gaucho yupo ndani
 
Kuna dogo mmoja wa Serengeti boys aliingia baadae akatoka alibanwa misuli,yule dogo anajua mpira kuliko wachezaji wrote kwenye hayo mashindano,kwa bahati mbaya kwa umri wake hawezi kuchza dk zote 90..anamiaka 15 tu!
Yule dogo ni so ata yale mashindano ya U20 alicheza na timu ya Yanga.....

Ana kasi sana na anamiliki mpira vizuri.....

Muhimu wakitunze kipaji chake mkuuu!
 
Huku ndo angeonesha kipaji apate academy ya nje!
 
Yule dogo ni so ata yale mashindano ya U20 alicheza na timu ya Yanga.....

Ana kasi sana na anamiliki mpira vizuri.....

Muhimu wakitunze kipaji chake mkuuu!
Huyo dogo anavaa jez namba ngap
 
Kuna dogo mmoja wa Serengeti boys aliingia baadae akatoka alibanwa misuli,yule dogo anajua mpira kuliko wachezaji wrote kwenye hayo mashindano,kwa bahati mbaya kwa umri wake hawezi kuchza dk zote 90..anamiaka 15 tu!
Anavaa jez namba ngap
 
Hongera sana vijana.Timu pinzani zimeangalia video clips na kukariri Yohana Mkomola ndiye mfungaji wa mabao mengi Serengeti matokeo yake mabeki wote wa Angola wakawa wanakimbizana naye na kusahau wengine......Mkomola anaweza kuwa na tatizo la Kisaikolojia la kutokufunga katika michuano hii.Si mbaya sana tunachotaka ni matokeo ya timu.
 
Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana, alichukuliwa na maafisa wa CAF na kufanyiwa vipimo vya dawa za kusisimua misuli.

Hali hiyo ilisababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo yake ya mchezaji bora hivyo akawakilishwa na mlinzi, Dickson Job. CAF hawakuamini walichokiona kwa Abdul ambaye alihaha uwanja mzima!

Hata hivyo baada ya vipimo ilibainika hakuwa katumia dawa hizo bali ni uwezo binafsi wa mchezaji uwanjani.
[HASHTAG]#GabonMpakaKombelaDunia[/HASHTAG]
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…