AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Nawashauri TFF kitu kimoja,wangejaribu kuwa tengenezea hawa madogo wote profile/CV zao a matter of fact kwa sasa hawa watoto wanawagoogle sana,uwezi jua mwenye bahati,MTU kabla ya kufanya approach tuseme labda academy za Nje watahitaji kupata ABCs zao,waupload vipande/clips zao kwenye YouTube pia..
Kwa bahati mbaya ukiwagoogle sasa hivi hakuna information yoyote ya maana juu ya mchezaji moja mmoja..tutumie fursa muda ndo Huu..!! @Jamalmalinzi
nasikia yohana alishapata timu uko Tunisia sijui kama linaukweli hili..
 
Serengeti Boys imewasili salama jijini Port Gentil, Gabon tayari kwa mchezo wa mwisho wa Kundi B dhidi ya Niger utakaochezwa Jumapili hii.
63278756a6786e308ebb7d84dd4df495.jpg
7e8cf936edce09932391c95244a0c87e.jpg
ed6191939889bc3f8a9a9d19089fc9b1.jpg
 
Vijana wako vizuri, soka safi walitandaza na ushindi ulipatikana, Wajitume zaidi support wataipata..
 
Halafu DSTV (SSP9)wametufanyia kitu kibaya Mechi yetu leo na Niger wataonyesha recorded saa 2230hrs.Live wanaonyesha Mali vs Angola 2030hrs EAT.So wenye King'amuzi cha Azam ni ku-tune ZBC.Mungu ibariki Tanzania
 
Halafu DSTV (SSP9)wametufanyia kitu kibaya Mechi yetu leo na Niger wataonyesha recorded saa 2230hrs.Live wanaonyesha Mali vs Angola 2030hrs EAT.So wenye King'amuzi cha Azam ni ku-tune ZBC.Mungu ibariki Tanzania
No live itarushwa kupitia ss EA na SELECT 1
 
Leo tunakata rasmi tiketi ya kuchezi fifa-u17 world cup kwa mara ya kwanza
 
Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana, alichukuliwa na maafisa wa CAF na kufanyiwa vipimo vya dawa za kusisimua misuli.

Hali hiyo ilisababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo yake ya mchezaji bora hivyo akawakilishwa na mlinzi, Dickson Job. CAF hawakuamini walichokiona kwa Abdul ambaye alihaha uwanja mzima!

Hata hivyo baada ya vipimo ilibainika hakuwa katumia dawa hizo bali ni uwezo binafsi wa mchezaji uwanjani.
[HASHTAG]#GabonMpakaKombelaDunia[/HASHTAG]
.
736f15c77f8b30525f77953ae51400ad.jpg
e00a010daf35538bfac7b76e4c36fdeb.jpg
Hawa ni wehuuu ssa kumpima nn huko ni kumtoa dogo kwenye mood
 
Back
Top Bottom