Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Nawashauri TFF kitu kimoja,wangejaribu kuwa tengenezea hawa madogo wote profile/CV zao a matter of fact kwa sasa hawa watoto wanawagoogle sana,uwezi jua mwenye bahati,MTU kabla ya kufanya approach tuseme labda academy za Nje watahitaji kupata ABCs zao,waupload vipande/clips zao kwenye YouTube pia..
Kwa bahati mbaya ukiwagoogle sasa hivi hakuna information yoyote ya maana juu ya mchezaji moja mmoja..tutumie fursa muda ndo Huu..!! @Jamalmalinzi
nasikia yohana alishapata timu uko Tunisia sijui kama linaukweli hili..