AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Jamani kwa hali hii tushatoka[emoji134][emoji134][emoji24][emoji24]
 
Mpira umekwisha Tanzania out[emoji24][emoji24],,
Afu hivi vidogo vya niger vinapenda kujifanya kuumia sana[emoji109][emoji109]
 
Kwa kweli vijana wetu wamejitahidi, wamepambana kiume. Kwa kuwa ndio tunashiriki kwa mara ya kwanza sio mbay. Tuwasubiri mashujaa wetu tuwapokee kwa mbwembwe tu, na tujipange kwa mashindano mengine
 
Rule gani imetumika Niger kusonga sijaelewa maana ana points 4 goal diff 0 hivyo hivyo tz
 
Rule gani imetumika Niger kusonga sijaelewa maana ana points 4 goal diff 0 hivyo hivyo tz
Ile ya waliokutana. Kwa kuwa sisi tulipokutana nao wametufunga,ndiyo wametuumiza hapo. Kila kitu tuko nao sawa.
 
Rule gani imetumika Niger kusonga sijaelewa maana ana points 4 goal diff 0 hivyo hivyo tz
Mkilingana goal difference wanaangalia mwenye goli nyingi za kufunga .Niger 2-2 na angola.Akafungwa 2-1 hadi hapo katupia 3 wavuni.Na leo moja jumla goli nne katupa wavuni.Sisi mbili tu.Tungekuwa tumemfunga Angola 4-0 tungefungana magoli.Hapo wanakuja nani karuhusu nyingi.Niger karuhusu 3 sisi tumeruhusu 2.Na hapo mkilingana wanakuja nani alifunga goli nyingi kwny mechi moja.Na hapo mkilingana nani aliruhusu magoli mengi mechi moja.Na hapo mkilingana wanakuja je mlipokutana nani alimfunga mwenzake.............
 
imeniuma saaaanaa sisi kutolewa daaaah anywei,vijana wetu hongereni sana,well done kwa upande wangu.
 
Maumivu niyapatayo hayaelezeki .........anyway nawapongeza vijana wamejitahidi na tusikate tamaa ipo siku yetu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] MBWEMBWE KIBAO[emoji23] [emoji23] [emoji23] KIKO WAPI SASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…