Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Maumivu niyapatayo hayaelezeki .........anyway nawapongeza vijana wamejitahidi na tusikate tamaa ipo siku yetu
makocha wabongo shida ndio hiyo, ile timu aliyo anza nayo anaijua yeye, pia nimegundua jamaa ni kiburi kupita maelezoshime mjinga, anagombana ma mzungu benchi ataki kupokea shahuri.
tulikua tumelingana kila kitu, wameangalia head-to-head (matokeo ya mechi tukiyo cheza nayo ambayo tumefungwa)kashinda goli 4 sisi mbili mashindano yote.