AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Marefa wa CAF Nao vimeo, wametuonea mno, wanacheza mpira kwa kuangalia jina la nchi tu.
 
kweli shime alikua anatofautiana na mzungu mara zote..naamin angekubali kupokea ushauri tuu wala hangepoteza kitu. TFF ifike mahali iangalie kama kuna umuhimu wa kuwaacha hawa pamoja. naona ni upotevu wa fedha tu kuendelea kuwalipa mamilion ya hela wakati mmoja wapo angeweza kufanya vyote
 
2019 mashindano haya yatafanyika hapa kwetu, sijui kuna mkakati gani au ndio tunasibiri ukibaki mwezi mmoja tupeleke team kambin..?
 
Back
Top Bottom