challebahu maige nim
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 315
- 77
Ping mechi za ufunguzi zinaanza leo.Saa 1830hrsmechi ya kwanza ya pili 2130hrs saa za bongo.Ssport 9 na azam i think.Muda ni huo huo wa mechi za awali za makundi.Serengeti kesho 1830hrs vs Mali.Mechi ya ufunguzi inachezwa saa ngapi wakuu kwa saa za bongo
ThanksPing mechi za ufunguzi zinaanza leo.Saa 1830hrsmechi ya kwanza ya pili 2130hrs saa za bongo.Ssport 9 na azam i think.Muda ni huo huo wa mechi za awali za makundi.Serengeti kesho 1830hrs vs Mali.
Corrections.Inaonekana tuna tofauti ya saa 2 Dar na Libreville.Gabon zitakuwa 1530 hrs na 1830hrs maana yake bongo ni 1730hrs na 2030hrs respectively saa za BongoMechi ya ufunguzi inachezwa saa ngapi wakuu kwa saa za bongo
Kwny supersport nafikiri nao pia wanaonyesha SELCT pamoja na SS09Game zao zitaonyeshwa na chanel gani au livestream ipi ?
SSPORT NI CHANNEL 234...Nipo naangalia.Guinea 1 wenyeji Gabon 0Kwny supersport nafikiri nao pia wanaonyesha SELCT pamoja na SS09
Azam tv...katika chanel ya ZBC2 wako live wanaonesha mechizoteGame zao zitaonyeshwa na chanel gani au livestream ipi ?
Saa 11 jioni leo zbc 2 azamMechi ya ufunguzi inachezwa saa ngapi wakuu kwa saa za bongo
Tupe matokeo basi mkuuNaona wenyeji wanadhalilishwa hapa na Guinea
DuuhHii ni aibu kwa wenyeji...... Dk 36 Gabon 0 Guinea 4