Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Duh wazee wa kupinga pinga mpo. Kuitwa na kujumuika na kiongozi mkubwa wa nchi ni moja ya motisha, kuna mda inabidi tulaumu na kuna mda inabidi tushauri, kwa hapo ilitakuwa kushauri nini kifanyike sio kulaumu.Mkuu serikali inaenda kwa matukio yani hawa vijana waiitiwa wali kwa M/ Rais badala kuitiwa wataalamu wa soko wakubwa duniani kuwapa motivation ya mpira,wewe unamwambia kijana akipata nafasi ya kucheza timu kubwa asisuke nywelee mara sijui nn seriously! yan kama vile tayari kashapata hiyo team.kiukweli tukiacha siasa kwenye mpira tutakuwa mbali sanaa nchi inawatu zaidi ya mil55 lakini hapo Congo kila siku mabomu wanatuzidi mpira,yani viongozi wachache wanatufanya kichwa cha mwendawazimu.