Maelezo yanajitosheleza labda useme hujaelewa nnUnasemaje wewe?
4:1:4:1 tunataka kufanyaje? Kushinda au draw?Professionals Vs Amateurs.
Halafu huu mfumo wa 1:4:1:4 sijawahi kuona before kwenye mashindano ya level hii,maelewano Kati yao imekuwa sifuri it seems Ni mgeni hata kwa wachezaji.
Vijana wako reluctant mno utasema lunch wamekula makande na togwa.
Ngapi ngapi hadi saizMadogo wamekuwa laini mnoo.
Sioni wana mpango gani wa kutafuta goli.
Pasi fyongo zimekuwa nyiingi kama simba na yanga.
Bila bila mkuu. Second half ndo inaanza.Ngapi ngapi hadi saiz
Umeongea ukweli mpk malaika hawezi kuusemaMara nyingi mechi ya kwanza vijana lazima wawe na kawoga kama hawajaandaliwa vyema kiakili. Ingekuwa wakati wa Nape lazima angekuwa huko kutia hamasa ila huu mzigo mwingine ni majanga tuu
Kila la kheri kwa madogo zetu.Bila bila mkuu. Second half ndo inaanza.
Kipindi cha pili naona vijana wamerejea vizuri.Madogo wamekuwa laini mnoo.
Sioni wana mpango gani wa kutafuta goli.
Pasi fyongo zimekuwa nyiingi kama simba na yanga.