AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

AFCON (u17)-2017 Gabon: Serengeti boys special thread

Jamani hawa mali watatuua.. yaani vijana wetu waoga sana wakati nilisikia wameenda mpaka ulaya..
 
Professionals Vs Amateurs.

Halafu huu mfumo wa 1:4:1:4 sijawahi kuona before kwenye mashindano ya level hii,maelewano Kati yao imekuwa sifuri it seems Ni mgeni hata kwa wachezaji.

Vijana wako reluctant mno utasema lunch wamekula makande na togwa.
4:1:4:1 tunataka kufanyaje? Kushinda au draw?
 
Madogo wamekuwa laini mnoo.
Sioni wana mpango gani wa kutafuta goli.

Pasi fyongo zimekuwa nyiingi kama simba na yanga.
 
Mara nyingi mechi ya kwanza vijana lazima wawe na kawoga kama hawajaandaliwa vyema kiakili. Ingekuwa wakati wa Nape lazima angekuwa huko kutia hamasa ila huu mzigo mwingine ni majanga tuu
 
Half time hawajafungana..lkn kwa mchezo ule tukirudi second half tusipobadilika tusidanganyane tutakula mvua..
 
Mara nyingi mechi ya kwanza vijana lazima wawe na kawoga kama hawajaandaliwa vyema kiakili. Ingekuwa wakati wa Nape lazima angekuwa huko kutia hamasa ila huu mzigo mwingine ni majanga tuu
Umeongea ukweli mpk malaika hawezi kuusema

Mungu akubariki uendelee hivyo hivyo
 
Timu imecheza hovyo, hata sikumbuki kama walifika golini mwa Mali, wasipobadilika second half, basi wategemee kupigwa nyingi.... Hatuna timu ya kwenda world Cup hapo labda wabadilike
 
Serengeti Boys wameamka kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom