AFCON: Uwanja wavamiwa na mashabiki Ghana ikiongoza 3-0

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa kama luba huku was Guinea bisau wakishangilia wakihisi mchezo utaridiwa
....

....Haina tofauti na enzi hizo kidongo chekundu !!!

_80820388_riotpolice_waterbottles.jpg
 
Bora hako ka-nchi katoke, maana kalibebwa sana katika mchezo dhidi ya Guine equator na Tunisia, watolewe tu hao Kenge!
 
Sasa Wachezaji Wa Equarorial Guinea Wameamriwa Kuwasihi Mashabiki Wao Kutulia ILA Kuna Kila Dalili Mechi Ikasimama Hapa Na Ghana Wakasonga Mbele. Hakika Ni Aibu, Aibua, Aibu Kwa Sisi Ngozi Ya T.A.K.O!
 
Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa kama luba huku was Guinea bisau wakishangilia wakihisi mchezo utaridiwa
Hivi mkuu Taifa Stars ''Maboresho'' Kichwa cha Mwendawazimu bado wapo kwenye AFCON au wameshatolewa? Tunaomba utujuze tafadhali.
 
Aibu hii...helcopta inazunguka tu kama ile ya Kova hakuna inachosaidia.....
 
Bora hako ka-nchi katoke, maana kalibebwa sana katika mchezo dhidi ya Guine equator na Tunisia, watolewe tu hao Kenge!
Mbwwakabisa kamebebwa mpaka baadhiyanchi zimegoma kurudi hayamashindano unajua wanaangalia viingilio milangoni badala yaa uhalisia nakumbuka cecafa yanga na waethiopia jamaawalikuwa wanapiga penalty kwenda yanga wasonge mbele zilipigwaa marambili wanaambiwa amepiga kabla nazote alipata ya arudikurudia marayatatu nyooooozakeapate loh akabetua kule chezea musonyi wewee
 
niliuangalia mpira vizuri sana jamaa kwa kuwa wapo home walizani wata lazimisha ushindi wa kuokota kama kwa Tunisia ....walikuwa wanamlazimisha refa atoe kadi hovyohovyo.......wapigwe tu kama coastal...hahahahaha
 
Mtanange Nadhani Unaendelea Sasa ILA Wachezaji Na Marefarii Mawazo Yao Sasa Ni Jinsi Watakavyotoka Mita ( Kukimbia ) Mara Baada Ya Mpambano Kumalizika.
 
Sasa Wachezaji Wa Equarorial Guinea Wameamriwa Kuwasihi Mashabiki Wao Kutulia ILA Kuna Kila Dalili Mechi Ikasimama Hapa Na Ghana Wakasonga Mbele. Hakika Ni Aibu, Aibua, Aibu Kwa Sisi Ngozi Ya T.A.K.O!

Sio Afrika tu..hata nchi zilizoendelea fujo kawaida....Huko Gatasalayi mashabiki kuchapana kawaida sanaaa
 
niliuangalia mpira vizuri sana jamaa kwa kuwa wapo home walizani wata lazimisha ushindi wa kuokota kama kwa Tunisia ....walikuwa wanamlazimisha refa atoe kadi hovyohovyo.......wapigwe tu kama coastal...hahahahaha

Mashabiki wanalazimisha timu yao ya EG ipewe penati tatu za fastafasta....lol!
 
Ndo maana wazungu wanasema maajabu hayataisha Afrika,
 
mechi inaendelea au bado imesimamishwa, mnaoangali tafadhali mtujulishe
 
Aibu hii...helcopta inazunguka tu kama ile ya Kova hakuna inachosaidia.....
Pambavuuikabsa. Nilijuainamwaga majiwashawasha nawaambia dar upuuziule konyozao wangeoga majiyashetani mpakawakome na Mpira umeisha
 
mechi inaendelea au bado imesimamishwa, mnaoangali tafadhali mtujulishe
Mkuu imeisha mdaa huu waliendelea refa akaambiwa Dk 3 maliza game wamegusa mpira gafla wachezajiwa guinea wameshangaa Mpira umeisha kufour a!emeshangaa sheria gani imetumika kuendelea na mpira wakati sheriayampira unasema Dk 10. Akuna solnunamaliza Mpira ajui why wamekaa 30. Mins bado wanarud uwanjani a!meapa kulifikisha FIFA huu upuzi was refa
 
Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa kama luba huku was Guinea bisau wakishangilia wakihisi mchezo utaridiwa
Hapo nilipobord,kaedit,sio Gunea bisau,Guinea ikweta
 
Back
Top Bottom