Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa kama luba huku was Guinea bisau wakishangilia wakihisi mchezo utaridiwa
....
....Haina tofauti na enzi hizo kidongo chekundu !!!
![]()