....
....Haina tofauti na enzi hizo kidongo chekundu !!!
Bora hako ka-nchi katoke, maana kalibebwa sana katika mchezo dhidi ya Guine equator na Tunisia, watolewe tu hao Kenge!
Hivi mkuu Taifa Stars ''Maboresho'' Kichwa cha Mwendawazimu bado wapo kwenye AFCON au wameshatolewa? Tunaomba utujuze tafadhali.Refamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa kama luba huku was Guinea bisau wakishangilia wakihisi mchezo utaridiwa
Mbwwakabisa kamebebwa mpaka baadhiyanchi zimegoma kurudi hayamashindano unajua wanaangalia viingilio milangoni badala yaa uhalisia nakumbuka cecafa yanga na waethiopia jamaawalikuwa wanapiga penalty kwenda yanga wasonge mbele zilipigwaa marambili wanaambiwa amepiga kabla nazote alipata ya arudikurudia marayatatu nyooooozakeapate loh akabetua kule chezea musonyi weweeBora hako ka-nchi katoke, maana kalibebwa sana katika mchezo dhidi ya Guine equator na Tunisia, watolewe tu hao Kenge!
Sasa Wachezaji Wa Equarorial Guinea Wameamriwa Kuwasihi Mashabiki Wao Kutulia ILA Kuna Kila Dalili Mechi Ikasimama Hapa Na Ghana Wakasonga Mbele. Hakika Ni Aibu, Aibua, Aibu Kwa Sisi Ngozi Ya T.A.K.O!
niliuangalia mpira vizuri sana jamaa kwa kuwa wapo home walizani wata lazimisha ushindi wa kuokota kama kwa Tunisia ....walikuwa wanamlazimisha refa atoe kadi hovyohovyo.......wapigwe tu kama coastal...hahahahaha
Mtanange Nadhani Unaendelea Sasa ILA Wachezaji Na Marefarii Mawazo Yao Sasa Ni Jinsi Watakavyotoka Mita ( Kukimbia ) Mara Baada Ya Mpambano Kumalizika.
Mkuu imeisha mdaa huu waliendelea refa akaambiwa Dk 3 maliza game wamegusa mpira gafla wachezajiwa guinea wameshangaa Mpira umeisha kufour a!emeshangaa sheria gani imetumika kuendelea na mpira wakati sheriayampira unasema Dk 10. Akuna solnunamaliza Mpira ajui why wamekaa 30. Mins bado wanarud uwanjani a!meapa kulifikisha FIFA huu upuzi was refamechi inaendelea au bado imesimamishwa, mnaoangali tafadhali mtujulishe
Hapo nilipobord,kaedit,sio Gunea bisau,Guinea ikwetaRefamsaidizi apigwa na kitu uwanjan akimbilia kati!!Moira ulibaki Dk 10 kuisha wananchi wamevamia uwanja na polisiwameingia kati muda simrefu watatoa maamuzi !!wachezaji waghana wanamkumbatia refa kama luba huku was Guinea bisau wakishangilia wakihisi mchezo utaridiwa