AFCON: Uwanja wavamiwa na mashabiki Ghana ikiongoza 3-0

AFCON: Uwanja wavamiwa na mashabiki Ghana ikiongoza 3-0

Mtanange Nadhani Unaendelea Sasa ILA Wachezaji Na Marefarii Mawazo Yao Sasa Ni Jinsi Watakavyotoka Mita ( Kukimbia ) Mara Baada Ya Mpambano Kumalizika.
Aisee kama uliwaona kabla ya kurudi wakauliza tunaondokaje wakaambiwa chezesha Dk 3. Huku unakimbilia karibu na getilakuondokea kweli alikaa usawa was kati akapuliza puuuyuuuupyuuu akaangalia Julia askariwakowapi omg babawawatu mbele kutakuwa kumelowa mbaya ilemishenziwest aifaikabisa
 
Japo Leo waafrika wenzetu wametutia aibu kwa kuvuruga mchezo kati Equtariol Guinea na Ghana lakini nimejifunza kitu kuwa mibomu ya machozi na marungu wanayotupiga nayo Polisi wa Hapa Gheto si Suluhisho.

Sikuona bomu wala marungu lakini mashabiki walitulia na Mpira uliendelea lakini ingekuwa hapa Gheto kwa vurugu zile nina uhakika kuna nyumba kesho wangefunga maturubai.Polisi wa Tanzania mjifunze mibomu na mirungu si suluhu ya kila tatizo.
 
Sipati picha timu wenyej wanavyosubiriwa nnje kupewa kichapo kama colombia vile
 
Hivi mkuu Taifa Stars ''Maboresho'' Kichwa cha Mwendawazimu bado wapo kwenye AFCON au wameshatolewa? Tunaomba utujuze tafadhali.
Innalilh na!aswabrina watafika mpwa
 
Tatizo Ngozi. Wazungu watatudharau mpaka mwisho wa dunia.
 
Wapi asamoah yaani angekuwepo wangeliamvua yamagoli puuzikabisa thx ayewfamilly
 
Kama nawaona polisi TZ wanavyowatamani hao mashabik.
Hakuna kirungu kimerushwa.

Policcm ina cha kujifunza.
 
Now nimeamini u!umuhimu wagarila majichoma uwanjani
 
Vi-nchi kama hivi ni vya kuvipiga ban tu kutokuandaa mashindano yoyote makubwa kwa miaka 1000 ijayo
 
Brazil anajua mpira alikula saba nyumbani fainali ya kombe la dunia jamaa hawakurusha hata tishu uwanjani, kweli nyani hastaarabiki unaweza kumtoa porini ukamvisha pamba za ukweli lakini akili pori hazimtoki
 
Ghana 3-0 Equatorial Guinea AFCON 2015: Avram Grant leads Black Stars into final amid chaotic scenes as game is delayed and then cut short over crowd trouble


  • Ghana beat Equatorial Guinea to reach the 2015 Africa Cup of Nations final
  • The Black Stars are coached by former Chelsea manager Avram Grant
  • Jordan Ayew, Mubarak Wakaso and Andre Ayew scored the goals
  • The game was delayed for over 30 minutes and then finished early over crowd trouble
  • The winners will now play Ivory Coast in the AFCON final on Sunday

By JONNY SINGER


PUBLISHED: 16:27 EST, 5 February 2015 | UPDATED: 19:12 EST, 5 February 2015



Equatorial Guinea's Africa Cup of Nations dream came to a disappointing end amid more shameful scenes in Malabo on Thursday night.

The hosts have lit up this tournament, performing footballing miracles, backed by enthusiastic support. But as they exited at the semi-final stage, those same fans showed an uglier side, throwing bottles at Ghana's players, staff and fans and eventually causing the game to be stopped for more than half an hour.

With eight minutes left and the Ghana fans being pelted with bottles from both sides, the game was stopped for them to be escorted from the stadium, amid fears for their safety.




255F825900000578-2941812-Ghana_players_celebrate_in_front_of_coach_Avram_Grant_en_route_t-a-58_1423173831453.jpg


+25



Ghana players celebrate in front of coach Avram Grant en route to the Africa Cup of Nations final

255FE1F400000578-2941812-PLayers_wait_on_the_pitch_as_a_helicopter_tries_to_control_an_ag-a-59_1423173831469.jpg


+25



PLayers wait on the pitch as a helicopter tries to control an agitated crowd in Malabo

255FDBF800000578-2941812-Ghana_players_are_shielded_by_riot_police_after_being_pelted_by_-a-60_1423173831479.jpg


+25



Ghana players are shielded by riot police after being pelted by missiles at half-time

255FD92E00000578-2941812-image-a-61_1423173831485.jpg


+25




Police address the Equatorial Guinea supporters as trouble erupts towards the end of the game

255FD6B900000578-2941812-Police_attempt_to_evacuate_fans_as_the_game_is_delayed_for_over_-a-62_1423173831494.jpg


+25



Police attempt to evacuate fans as the game is delayed for over 30minutes

255FDE7A00000578-2941812-Equatorial_Guinea_fans_are_pelted_by_water_bottles_as_they_try_a-a-63_1423173831503.jpg


+25



Equatorial Guinea fans are pelted by water bottles as they try and calm the situation

255FDC3200000578-2941812-A_helicopter_circles_over_the_stadium_in_an_effort_to_control_th-a-64_1423173831512.jpg


+25



A helicopter circles over the stadium in an effort to control the shambolic scenes

255FE4C800000578-2941812-The_helicopter_moves_close_enough_to_the_stands_to_blow_up_debri-a-65_1423173831521.jpg


+25



The helicopter moves close enough to the stands to blow up debris and disperse fans




Read more: Ghana 3-0 Equatorial Guinea AFCON 2015: Avram Grant leads Black Stars into final amid chaotic scenes | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Haya maajabu hayapo Africa tuu kote yapo acheni kujidharau bana.

Katika "level" hii ujinga huu haupo kila mahali kama unavyodai, hatuongelei kwenye makombe ya mbuzi, hii kitu kinaonyesha hata identity ya watu, Brazil ilifungwa mengi tu na washabiki wakaanza kuishangilia timu iliyokuwa inacheza vizuri, sasa wewe wasema kote wapi hasa mkuu?
 
Aisee kama uliwaona kabla ya kurudi wakauliza tunaondokaje wakaambiwa chezesha Dk 3. Huku unakimbilia karibu na getilakuondokea kweli alikaa usawa was kati akapuliza puuuyuuuupyuuu akaangalia Julia askariwakowapi omg babawawatu mbele kutakuwa kumelowa mbaya ilemishenziwest aifaikabisa

Pididy Uandishi Huu Ni Wewe Kweli au Ulikuwa Na Usingizi? au Jana Ulizimua Maji Ya Ilala Mchikichini?
 
Back
Top Bottom