Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Angalia Jinsi Cameroon anavyowafanyia Figisu Team Wapinzani Wake.View attachment 2096171
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii michezo waarabu ndio wameanzisha.
Ujanjaujanja Mwingi Africa Mpaka Aibu
Utashangaa Hakimi ana Corona.Hahha haaa dah wasiombe wakutane na morocco watapigwa na michongo yao ππ
Utashangaa Hakimi ana Corona.