Afcon ya Mwaka Huu Ni Ya Mchongo Sana

Afcon ya Mwaka Huu Ni Ya Mchongo Sana

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Angalia Jinsi Cameroon anavyowafanyia Figisu Team Wapinzani Wake.
Screenshot_20220126-112723.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAF nao wamenyamaza kimya tu.

Na Kameroon atalisikia tu redioni hilo kombe.

Anawahofia hata Ethiopia..!
 
Cameroon na Senegal wanabebwa kama watoto wachanga vile! Sitashangaa Bingwa akiwa Mali.
 
Hii michezo waarabu ndio wameanzisha.

Unaongea ukiwa wapi? Unawajuwa waarabu wewe? Eti waarabu ndio wameanzisha 😁 kubali kataaa AFCON inaenda kwa waarabu, endelea kuteseka, na ikiwezekana jipige kitanzi. Hao michongo wako dawa inawaijia soon
 
Back
Top Bottom