Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,793
- 3,709
Huku intamba-mu-ragamba kule the cranes pale Harambee stars afu tunamaliza na sisi wenyewe baba la baba Taifa stars. Hakika ni furaha sana kuona timu nyingi za ukanda wetu kwenye michuano mikubwa kama Afcon. Amavubi poleni sana naamini tutawawakilisha vema.