Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
farkhina, niulize ukiloweka mchele kwa 1hour si utakua mwepesi sana? utafaa kupika na kuchambuka vizuri?
Wala hauwi mwepesi sana coz unapika kwa maji kiasi tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Farkhina
mwaliko hamna?
uji wa tapo
Mmmmh ndo nini hiyo tapo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
, kamuulize bibi yako zamani alikuwa akinipikia tokea kuwa mzee na macho hayaoni vizuri ndio anashindwa kunipikia na nyie wajukuu nyote mumekimbilia mjini
Hahahahahaha bibi yangu kafa zamani sana hata sijawah kumuona.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kwani una bibi mmoja tu?
Farkhina si umekulia pwani? basi uji wa tapo utaujuwa kama ni hivyo
ila.mchele ukilowekwa sana kwa muda kama 1 hr huwa inapoteza ladha jamani..1hr sio mchezo ati tena kama ni mchele mpya uliotoka kuvunwa karibuni unakua rojo kabisaa kama wa vitumbua...
Sijui babu weee ndio kwanza leo naskia hilo jina.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sasa nipe mji nikujuze nini uji wa tapo
Utu uzima dawa ngojea nimuulize Mzizi Mkavu kama na yeye atakuwa anaukumbuka
Ha ha haaaaaa, au nimjibie?
Mie mwenyewe kanishangaza kuwa hazijui tapo
Bora umsaidie kwani Farkhina kashughulika na vyakula vyengine sijui kama uji wa shurba atakuwa anaujuwa kupika
Ha ha haaaaaa, au nimjibie?
Mie mwenyewe kanishangaza kuwa hazijui tapo
Nitatengeneza hii kitu