Afghanistan: Bomu la kujitoa mhanga laua watu 23

Afghanistan: Bomu la kujitoa mhanga laua watu 23

Next episode ya kujilipua ni ijumaa ijayo...kila ijumaa wana release episode ya kujilipua.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
... saa hizi wako somewhere sterling anamezeshwa script na kusomewa maombi pepo la ujasiri limpande. Connection na familia, ndugu, jamaa na marafiki imekatwa rasmi for good.
 
Dini ndio imewafanya wafanye hivyo halafu wewe hutaki wahusishwe nayo! huo ni upumbavu.
Wapumbavu kama awa naomba wasiusishwe na dini awa wanachopigania wanakijua wenyew kwanza kwenye dini ya kiislamu kitendo cha kujitoa uhai wako tu ni dhambi bado ya kuwatoa wengine wasio na hatia..mwenyezi mungu awalaze wanapostaili
 
Kwa hiyo hao wanajilipua kila siku wenyewe wanatumia msaafu gani.😟😟
 
Back
Top Bottom