jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
... saa hizi wako somewhere sterling anamezeshwa script na kusomewa maombi pepo la ujasiri limpande. Connection na familia, ndugu, jamaa na marafiki imekatwa rasmi for good.Next episode ya kujilipua ni ijumaa ijayo...kila ijumaa wana release episode ya kujilipua.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wapumbavu kama awa naomba wasiusishwe na dini awa wanachopigania wanakijua wenyew kwanza kwenye dini ya kiislamu kitendo cha kujitoa uhai wako tu ni dhambi bado ya kuwatoa wengine wasio na hatia..mwenyezi mungu awalaze wanapostaili
Ni ngumi sana kutenganisha hayo yanayotokea huko na imani kali za kidini...kuna shida mahali.Dini ndio imewafanya wafanye hivyo halafu wewe hutaki wahusishwe nayo! huo ni upumbavu.
Inasikitisha sana..... saa hizi wako somewhere sterling anamezeshwa script na kusomewa maombi pepo la ujasiri limpande. Connection na familia, ndugu, jamaa na marafiki imekatwa rasmi for good.
Kwa hiyo hao wanajilipua kila siku wenyewe wanatumia msaafu gani.😟😟Wapumbavu kama awa naomba wasiusishwe na dini awa wanachopigania wanakijua wenyew kwanza kwenye dini ya kiislamu kitendo cha kujitoa uhai wako tu ni dhambi bado ya kuwatoa wengine wasio na hatia..mwenyezi mungu awalaze wanapostaili