I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Sep 21, 2021 #21 FabNXTzqEtcgazfbjjfo said: Sometimes Huwa najiuliza. Angalieni Nchi Ambazo wanawake Wapo Huru sana zilivyoharibika Kimaadili na Dhambi Ndizo zinakuwa Nyingi kupitiliza Sometimes najuliza Why hata Mungu akuwaoa Nafasi Sana Hawa Viumbe katika Kazi Zake Click to expand... Umeandika kitu gani sasa..!!
FabNXTzqEtcgazfbjjfo said: Sometimes Huwa najiuliza. Angalieni Nchi Ambazo wanawake Wapo Huru sana zilivyoharibika Kimaadili na Dhambi Ndizo zinakuwa Nyingi kupitiliza Sometimes najuliza Why hata Mungu akuwaoa Nafasi Sana Hawa Viumbe katika Kazi Zake Click to expand... Umeandika kitu gani sasa..!!
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Sep 21, 2021 #22 Dini ya hamani iyo katika kuheshimu haki za wanawake๐๐๐๐๐
allypipi JF-Expert Member Joined May 10, 2020 Posts 3,233 Reaction score 10,563 Sep 21, 2021 #23 Hivi mimi uwaga najiuliza kama mwanamke hana mume hafu ni yatima ukimzuia kufanya kazi ataishije huko.
Hivi mimi uwaga najiuliza kama mwanamke hana mume hafu ni yatima ukimzuia kufanya kazi ataishije huko.