Una uhakika gani na hili mkuu?Yeah na ni mmarekani...!
Ni habari ndefu lakini ukisoma andiko la maadui watatu wa marekani utajuaUna uhakika gani na hili mkuu?
Natamani nijue mkuu.Ni habari ndefu lakini ukisoma andiko la maadui watatu wa marekani utajua
wamepotoka ambao hawaifuti Qur'an tukufu.Mmepotoka
Milipuko inayotokea huko wanahusishwa waisilamu, hawajui kuwa yumkini njama za mabeberu kuwachafuwa taleban waonekane hawafai.
Kama Uislam ni undugu kwa nini ISIS wanaua waislam wenzaowamepotoka ambao hawaifuti Qur'an tukufu.
mnyazi mungu hata kuwa kheri nao.