Afghanistan: Shambulio baya lakumba msikiti wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa

Afghanistan: Shambulio baya lakumba msikiti wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa

Acheni visingizio visivyo na maana. Hao watu wa mashariki ya kati na asia ya kati wana asili ya kupigana vita hivyo hivyo toka enzi na enzi wakati hata hiyo Marekani ilikuwa haijulikani. Hata mtume alikuwa ni kamanda wa vita.
 
Shida ya waislamu wengi elimu inawasumbua sana. Wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe wanamsingizia Marekani
Vipi kuhusu lile jaribio lilofanyika pale kwenye uwanja wa ndege ambalo liliua wanajeshi wa Marekani. Nalo Marekani walilifanya?
Milipuko inayotokea huko wanahusishwa waisilamu, hawajui kuwa yumkini njama za mabeberu kuwachafuwa taleban waonekane hawafai.
 
Back
Top Bottom