Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Hao Wataliban siyo wa kuwaamini hata kidogo. Wanachokifanya hapo ni kuwavuta hao Wamarekani waingie kwenye 18 zao then wanawageuzia tena kibao.
Unateseka ukiwa wapi? Wenzio wameshika kobaz mkononi.