njia_ya_msalaba
Member
- May 27, 2022
- 11
- 58
ila kuwa mhislamu ni shida sana kiukweli n dini ya gizaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa "muwahame katika malazi" haitoshi kuhamwa tu, na kipigo juu.Mpaka Allah anawadharau anataka mpewe kichapo
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni.
Huko hata simu haruhusiwi kushika, huku anajaza server za JFFaizaFoxy kwa nini hukwenda kusoma Afghanistan badala yake ukakimbilia Canada??
SanaYule mke wao wa jf hana cha kusema ana huzuni kuona wanavyo muangusha dini ya hovyo.
Sizani kama ni sababu ya diniHii dini ni chanzo cha huzuni ,mafarakano na maumivu mioyoni mwa watu badala ya kuwa faraja ktk maisha ya watu.
Ni Sharia ya Dini.Sizani kama ni sababu ya dini
Likizo zake zote anaenda UK na US au Ufaransa.FaizaFoxy ashukuru kuzaliwa Afrika mbali na uzombi wa hii dini, kwamba anaweza hata kubishana na wanaume na asikatwe kichwa.
Wanawake inatakiwa washinde ndani wakiwa na nguo nyepesi bila kyupi wasubiri huduma toka kwa mume na dada wa kazi.. mwanamke ni ua linatakiwa limwagiliziwe mbegu tuView attachment 2730426
Marufuku hiyo ya Uongozi wa Taliban umehusu Mbuga ya Wanyama ya Band-e-Amir iliyopo katika Jimbo la Bamiyan, ambapo Kaimu Waziri wa Maadili wa Afghanistan, Mohammad Khaled Hanafi amesema Wanawake wamekuwa hawazingatii mavazi ya hijabu wanapokuwa ndani ya mbuga hiyo.
Amewataka viongozi wa dini na Vyombo vya Usalama kuwakataza Wanawake kuingia hadi suluhu ipatikane.
Mbuga ya Band-e-Amir imekuwa kivutio kikubwa cha Watalii na inapendelewa kutembelewa na familia mbalimbali.
View attachment 2730427
Miezi ya hivi karibuni, Taliban pia ilipiga marufuku Wanawake kwenda saluni za kike pamoja na kuziia Wanawake kufanya mitihani ya kitaifa ya kuingia Chuo Kikuu.
=========== =================
Afghanistan: Taliban ban women from visiting popular national park
The Taliban have banned women from visiting the Band-e-Amir national park in the central Bamiyan province.
Afghanistan's acting minister of virtue and vice, Mohammad Khaled Hanafi, said women had not been observing hijab inside the park.
He called on religious clerics and security agencies to forbid women from entering until a solution was found.
Band-e-Amir is a significant tourist attraction, becoming Afghanistan's first national park in 2009.
It is a popular destination for families and the ban on women attending will prevent many from being able to enjoy the park.
Unesco describes the park as a "naturally created group of lakes with special geological formations and structure, as well as natural and unique beauty".
However, Mr Hanafi said going to the park to sightsee "was not obligatory", Afghan agency Tolo News reported.
Religious clerics in Bamiyan said the women who were visiting the park and not following the rules were visitors to the area.
"There are complaints about lack of hijab or bad hijab, these are not Bamiyan residents. They come here from other places," Sayed Nasrullah Waezi, head of the Bamiyan Shia Ulema Council told Tolo news..
Afghan MP Mariam Solaimankhil shared a poem she had written on X, formerly known as Twitter, about the ban and wrote "we'll return, I'm sure of it".
Fereshta Abbasi, of Human Rights Watch, noted women had been banned from visiting the park on Women's Equality Day and wrote it was a "total disrespect to the women of Afghanistan".
Meanwhile Richard Bennett, the UN Special Rapporteur on human rights in Afghanistan, asked why stopping women from visiting Band-e-Amir "is necessary to comply with Sharia and Afghan culture?".
The Taliban have a history of implementing bans on women doing certain activities on what it insists is a temporary basis, including preventing them from attending schools in December 2022.
The ban on visiting the Band-E-Amir national park is the latest in a long list of activities that women have been prevented from doing since the Taliban returned to power in August 2021.
Most recently, the Taliban ordered hair and beauty salons in Afghanistan to shut and in mid-July stopped women from sitting the national university entrance exams.
Source: BBC