Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

Hapo sasa "muwahame katika malazi" haitoshi kuhamwa tu, na kipigo juu.
 
FaizaFoxy ashukuru kuzaliwa Afrika mbali na uzombi wa hii dini, kwamba anaweza hata kubishana na wanaume na asikatwe kichwa.
 
FaizaFoxy ashukuru kuzaliwa Afrika mbali na uzombi wa hii dini, kwamba anaweza hata kubishana na wanaume na asikatwe kichwa.
Likizo zake zote anaenda UK na US au Ufaransa.
Naskia ashaomba sana Uraia wa huko ila kutokana na ujahidina wake wamemkatalia.
Hata kwa kulipwa kila Mwezi Bure hawezi kuishi Afghanistan au Iran anakokusifia humu.
Anajua fika kuwa akienda huko atafunikwa mitambala mweusi toka nyayoni hadi utosini na hataruhusiwa hata kushika simu ya Android.
Huko wanawake ni marufuku kwenda kusoma chuoni, wanaishia la Saba tu na kuisubiri kuolewa mke wa Nne.
Marufuku kufanya kazi yoyote ile ya Siasa wala kuendesha gari.

Ndivyo walivyo hawa watu, unafki kwao ni Sunna.
 
Wanawake inatakiwa washinde ndani wakiwa na nguo nyepesi bila kyupi wasubiri huduma toka kwa mume na dada wa kazi.. mwanamke ni ua linatakiwa limwagiliziwe mbegu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…